Breaking News

JE WAJUA KUHUSU NDEGE ILIYOPOTEA MIAKA 37 ILIYOPITA NA KUPATIKANA NA ABIRIA WAKIWA HAI KISHA IKAPOTEA TENA!!

Ifahamu Ndege ya Pan american iliyopotea na kuonekana baada ya miaka 37 Abiria wake wakiwa hai
Tarehe 22 july, 1955 Pan american ilianza safari yake kutoka New york kuelekea Miami ikiwa na wafanyakzi 4 na abilia 57. lakini chaajabu katikati ya safari ndege hiyo ikapoteza mawasiliano na haikuwahi kuonekana tena tangu hapo wala haikufika miami kama ilivyokua safari yake.
Na hakuna aliyejua ilikuaje hadi Ndege hiyo ikapoteza mawasiliano na haikuwahi kuonekana tena hadi miaka 37 mbele ndio Ndege hiyo ikatua nchini Venezuela katika mji wa Caracas tarehe 21 july,1992.
Kutua kwa ndege hiyo kulikua kwa kushtuza sana maana hata Rada za Caracas hazikuiona kabisa kitu kilichofanya Co-Workers of control kuhoji imekuaje ndege hiyo haikuonekana kwenye mitambo yao. Mfanyakazi mmoja kwa jina la Juan de la corte ambaye ndiye aliyeshudia vizuri tukio hilo akamuuliza Pilot wa ndege ile ya Pan American Flight 914, "Vip ww mbona umetua hapa?" .
Akiwa na maana labda Rubani alikosea kiwanja cha kutua na ndege hii ni ipi? Inatoka wapi na ilikua inaelekea wapi wakidhani imetua kwa dharura. Hata hivyo Sio wao tu maana hata Pilot wa Pan American pia alishangaa baada ya kuona watu wa hapo sio wamarekani (Miami) kama alivyozoea na maswali waliyomuuliza ni kama kweli alitua uwanja ambao sio sahihi.
Ikabidi aulize, "Kwani tuko wapi hapa na nini kimetokea?" Wakamwambia, hapa ni Caracas Venezuela na leo ni 21may,1992. Pilot akabaki mdomo wazi akisema, Mungu wangu hii ndege ilipaswa kutua mjini Miami mda wa saa 03:55 22july,1955. Kusikia hivyo Carte na wafanyakzi wengine wa Caracas airport walishangaa na kweli baada ya kuangalia taarifa za abiria wale kupitia karatasi kadhaa walizopewa na Pilot huyo walishangaa sana baada ya kukuta ni kweli taarifa zinasema tarehe ni 22 july Mwaka 1955 na taarifa za hiyo ndege kupotea walipofuatilia kwa kina wakathibisha ni kweli ni yenyewe maana hata abiria waliokuemo ndio walewale na wako vilevile hakuna hata mmoja ambae amezeeka kutokana na picha zao ambazo waliziona baada ya kupotea kwa Ndege hiyo mwaka 1955.
Basi Carte alimwambia Pilot kua ameagiza watu wanakuja ambao watawasaidia kwaajili ya kuwapa makazi kwa kwa mda ili waone namna ya kuwasaidia ikiwa ni pamoja na kutoa taarifa hizo nchini Marekani. Lakini Pilot hakukubaliana nao aliona kama wanamzingua ikabidi awaambie abiria wake warudi kwenye ndege kumalizia safari yao maana walipotua sio walipokua wanatakiwa kutua na kwa vile abiria wikua wanatka Kwenda miami wakafanye shughuli zao na kwa mawazo yao walijua ni siku hiyohiyo basi wakarudi ndani ya ndege msaada ukiwa njiani kuja.
Pilot akaiwasha ndege na kuipaisha mda ule ule na kupotelea angani na tangu siku hiyo 21 may,1992 ndege hiyo haikuonekana tena mpaka leo na hakuna anayejua walivyopaa tena nini kilitokea na walienda wapi ikiwa na wafanyakazi wote walewale pamoja na abiria wake wote walewale wakiwa na Afya poa kabisa. Hadi mda huu tena Pan American 914 haijaonekana tena.!
#kwa mengineyo tembelea YouTube channel njombe boy kwa habari mbali mbali

No comments